Unajua nakupenda baby
Mbona sasa wanitesa baby?
Si kama la zamani
Je nilikuudhi mpenzi
Je nilikufanyia nini baby?
Hata unifanyie haya
Kwani nilikufanyia nini?
Mpenzi nbona sikuelewi
Nieleze nikuelewe
Machozi nilolia jana
Uchungu nilohisi jana
Siwezi kueleza
Baby wanichanganya
Mbona waongea kimafumbo
Nieleze nikuelewe
Hatuelewani!
Kila mtu ana yake kichwani
Mioyo yetu imejawa na chuki na uchungu
Penzi letu limebadilika ahhh
Sikjama la zamani
Hatuelewani yeeh
Norah! Ni wapi tulikosea?
Unajua nakupenda baby
Mbona sasa mbona wanitesa baby?
Si kama la zamani
Nipe tano nikupe tano
Maisha ni kudekezana
Nimekosa unisamehe
Pungufu zangu baby zimenipoonza
Ona sasa nimekukosa
Baby sasa Nimekukosa
Pressure! Pressure! Ya Nini?
Twende mdogo ndogo
Baby mdogo ndogo
Wanatucheki mpenzi tuko pamoja
Njoo njoo tukalale kwa Moko
Tusuluhishe Ni Yetu Tu
Ni yetu tu baby
Hatuelewani!
Kila mtu ana yake kichwani
Mioyo yetu imejawa na chuki na uchungu
Penzi letu limebadilika ahhh
Si kama la zamani
Uuuuuh uh! Hatuelewani
Kila mtu ana yake kichwani
Mioyo yetu imejawa na chuki na uchungu
Penzi letu limebadilika ahhh
Si kama la zamani
Hatuelewani!
Kila mtu ana yake kichwani
Hatuelewaaaani!Hatuelewaaaani!
Mioyo yetu imejawa ba chuki na uchungu
Penzi letu limebadilika ahhh
Baby! Baby! Baby!
Si kama la zamani