Mmm! Mmm! Mmm! Mmm!
Mmmmmh!
Le Prince Dela Rhumba
Abbih Nguma
Le Prêtre! Le Prêtre!
Kidungush nakutuma
Uende Msambweni
Ukamwone mama
Aliyenizaa
Umwambie Nairobi
Imenichanganya mimi
Wasalimu wote
Walio nyumbani
Waambie sijanyamaza
Kwa ubaya
Shida zimenitatiza
Nifanyeje mimi
Wasalimu wote
Kule Mwananyamala
Habari za mchango
Nilishazipata
Japo sijapata
Nitafanikiwa
Nitume kakitu mummy
Ufurahi
Upendeze Lunga Lunga
Wakuone
Yeah! Aaah!
Eeeh!
Wanasema Nairobi
Shamba la wanyama
Animals!
Marafiki watakuitia starehe, sherehe
Kazi! No!
Ukisota sugar daddy
Baby! Wako carry go
Hodi! Hodi!
Si matembezi
Huku ni kodi
Bro!
Ona wanatucheka
Walimwengu
Tumebaki vinyago
Wasanii
Mziki utalipa lini jamani?
Belelah! Belelah! Belelah!
Ninakuja mama
Belelah! Belelah! Belelah!
Nakozonga mummy
Belelah! Belelah! Belelah!
Belelah! Belelah! Be. Le. Lah!
Kukinyesha Evidence
Makanga President
Hapo ndo unawachwa tao
Mama mboga let's be friends
Gikomba. Niaje!
Hapo nd'o designer hutoka sense
Fake it till you make it
Hio ndio msemo buda uwes
Eeeeh!
Wanaopitia
Iza!
Eeeeh!
Wanaolililia
Skiza!
Eeeeh!
Wanaozuia
Giza!
Eeeeh!
Ona wanatucheka
Walimwengu
Tumebaki vinyago
Wasanii
Mziki utalipa lini jamani?
Belelah! Belelah! Belelah!
Ninakuja mama
Belelah! Belelah! Belelah!
Nakozonga mummy
Belelah! Belelah! Belelah!
Belelah! Belelah! Be. Le. Lah!