Le Prince Dela Rhumba
Ringa ringa mama, wakuone tate
Ringa ringa mammie, wakuone kichuna
Songa!
Nikuambie kitu
Mama! Usijali nakupenda
Mapito! Ni kawaida usijali
Wanasema! Usiku watalala
Guitar nitapiga, nikulishe Mwongeli
Nami' nitatia bidii, usiaibike nami'
Hata ukilia mama, nitakufariji moyo
Chozi lako, nitalifuta kwa penzi
Ringa ringa mama, wakuone tate
Ringa ringa mammie, wakuone kichuna
Ringa ringa mama, wakuone tate
Ringa ringa mammie, wakuone kichuna
Baby tabadamu lako, najua kesho will be alright
Hata wasemeje, kwangu tabibu wapendeza
Basi serebuka! Serebuka mama! Serebuka
Serebuka! Wakuone! Serebuka!
Guitar nitapiga, nikulishe Mwongeli
Nami' nitatia bidii, usiaibike nami'
Hata ukilia mama, nitakufariji moyo
Chozi lako, nitalifuta kwa penzi
Ringa ringa mama, wakuone tate
Ringa ringa mammie, wakuone kichuna
Ringa ringa mama, wakuone tate
Ringa ringa mammie, wakuone kichuna