Sekunde zimekuwa kama saa
Mufa unazidi kusonga, raciki na jamaa wamefika
Mapenzi wangu uko wapi,
Bora nimpigie simu, ujue kilichotokea
Amekwisha badilisha nia, ujue tuu
Baby ninakingojea mammie
Usiniwekee, usinitie aibu
Siku yetu imefika, wati wote wamedunga
Ushuhuda tunaweka mammie
Leo, ni siku ya furaha
Siku yetu imefika, wati wote wamedunga
Ushuhuda tunaweka baby
Leo, ni siku ya furaha
Naskia kelele za magari, umeshafika mke wangu
Nimekungoja sana
Ile smile napenda naiona, ule mwendo ulionizutia
Ni githaa, ni githaa zimekubali
Njoo njoo uwe wangu, na'mi niwe wako
Sasa unachalewa, unampango gani
Siku yetu imefika, wati wote wamedunga
Ushuhuda tunaweka mammie
Leo, ni siku ya furaha
Siku yetu imefika, wati wote wamedunga
Ushuhuda tunaweka baby
Leo, ni siku ya furaha
Siku yetu imefika, wati wote wamedunga
Ushuhuda tunaweka mammie
Leo ni siku ya furaha
Siku yetu imefika, wati wote wamedunga
Ushuhuda tunaweka baby
Leo ni siku ya furaha