Back to Top

Angry Panda Clan - Nipee Nikupee Lyrics



Angry Panda Clan - Nipee Nikupee Lyrics




Chuu Chuuu!
Yoor
Chuu chuuu!
Aahh
Angry Panda under Mickey

Wanauliza si ni wa wapi
Badala wajiulize tuna Mistari ngapi
Unadhani tumetishia wasanii ka wangapi
Nataka kutake ova watajificha wapi

Kaskazini kusini na Mashariki
Naskia tunasifika sana na mashabiki
Si tuko fiti hakuna ka sisi
Madem wetu wamesimama ju si ndo wenyekiti

Lyrically fit kwetu booth hukua gym
Apo ndo mahali nakuambia si huenda kutoa steam
Ndo ubishane na sisi labda ukuje na Team
Si tutakuja wawili ju hi ndo Dream Team

Yaani Panda ndo mbogi ikifika inakua scene
Na bado kuna wenye wamekataa kutureceive
Kwani nyi huskia nini ama mmekua viziwi
Hawa watu huimba nini kwanza hawawezani na Mimi

Mark na Calypso kwa wenye watujui
Hii game tunaipeleka teke mwendo wa chui
17B Kasarani Utatuget
Big up kila mtu mwenye anatu appreciate

Nikishika mic wanajua ni Mambo Kwisha
Kwinished! Done hakika Nawatisha
Me ni Grim reeper vile nawajibika
Washaniingizia wote nawanyamazisha

Daily najibamba
Bado nko busy nakaza kamba
Wakinga'nga'na tu Kujigamba
Manze iyo ni Blunder
Kujiburudisha na propaganda
Utaweza kushindana na Panda
'Eeh!

Nshajiokoa nafeel poa nko na mpoa
Namaanisha life niko Papoa
Manze tuko kwa journey Bad Vibes Dondoa
Big Up kwa ma Charji hope jo Mko poa
Eeh eeehh

Acha nipashe hawa wanangu
Wakikazana me naifanya kwa raha zangu
Ngima ikikam nakojolea na wenzangu
Kwanza na do di math ndo tuharibu hesabu

Hatuambiliki Hatusemezeki
Hatuwaskii tulikataa kuwatii
Walifanya makosa kujaribu kutupuuza
Ni hayo tu machache chunga naeza unguza

Chuu Chuuu!!
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Chuu Chuuu!
Yoor
Chuu chuuu!
Aahh
Angry Panda under Mickey

Wanauliza si ni wa wapi
Badala wajiulize tuna Mistari ngapi
Unadhani tumetishia wasanii ka wangapi
Nataka kutake ova watajificha wapi

Kaskazini kusini na Mashariki
Naskia tunasifika sana na mashabiki
Si tuko fiti hakuna ka sisi
Madem wetu wamesimama ju si ndo wenyekiti

Lyrically fit kwetu booth hukua gym
Apo ndo mahali nakuambia si huenda kutoa steam
Ndo ubishane na sisi labda ukuje na Team
Si tutakuja wawili ju hi ndo Dream Team

Yaani Panda ndo mbogi ikifika inakua scene
Na bado kuna wenye wamekataa kutureceive
Kwani nyi huskia nini ama mmekua viziwi
Hawa watu huimba nini kwanza hawawezani na Mimi

Mark na Calypso kwa wenye watujui
Hii game tunaipeleka teke mwendo wa chui
17B Kasarani Utatuget
Big up kila mtu mwenye anatu appreciate

Nikishika mic wanajua ni Mambo Kwisha
Kwinished! Done hakika Nawatisha
Me ni Grim reeper vile nawajibika
Washaniingizia wote nawanyamazisha

Daily najibamba
Bado nko busy nakaza kamba
Wakinga'nga'na tu Kujigamba
Manze iyo ni Blunder
Kujiburudisha na propaganda
Utaweza kushindana na Panda
'Eeh!

Nshajiokoa nafeel poa nko na mpoa
Namaanisha life niko Papoa
Manze tuko kwa journey Bad Vibes Dondoa
Big Up kwa ma Charji hope jo Mko poa
Eeh eeehh

Acha nipashe hawa wanangu
Wakikazana me naifanya kwa raha zangu
Ngima ikikam nakojolea na wenzangu
Kwanza na do di math ndo tuharibu hesabu

Hatuambiliki Hatusemezeki
Hatuwaskii tulikataa kuwatii
Walifanya makosa kujaribu kutupuuza
Ni hayo tu machache chunga naeza unguza

Chuu Chuuu!!
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Eugene Oyoo, Mark Mungai
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid




Angry Panda Clan - Nipee Nikupee Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Angry Panda Clan
Language: English
Length: 1:53
Written by: Eugene Oyoo, Mark Mungai

Tags:
No tags yet