Back to Top

Anyasi Ekhuya - Hakuna Kama Wewe Lyrics



Anyasi Ekhuya - Hakuna Kama Wewe Lyrics
Official




Hakuna kama wewe, Yesu wangu (There's no one like You, my Jesus)
Hakuna kama wewe, mfalme wetu (There's no one like You, our King)
Nani mwingine akufanana, Hakuna yeyote
Ndivyo twasema, Halleluya Hossana
Halleluya twakusifu we Bwana
Tukiinama na kuinuka
Tunakuabudu milele
Halleluya, Hakuna kama wewe Yesu
Mioyo yetu twaiinua, kwa utukufu wako
Tunaleta shukrani, kwa rehema zako
Twajitolea, roho zetu zakuabudu
Katika upendo wako, tunajitolea kwa dhati
Mioyo yetu yakushukuru, kila siku
Baraka zako hazihesabiki, zinatujaza furaha
Twakushukuru, kwa neema tele
Hakuna mwingine, wewe ni wa pekee
Halleluyia twakusifu we Bwana
Tukiinama na kuinuka
Tunakuabudu milele
Halleluyia, Hakuna kama wewe Yesu
Jesus
Halleluyia twakusifu we Bwana
Tukiinama na kuinuka
Tunakuabudu milele
Halleluyia, Hakuna kama wewe Yesu
Hakuna kama wewe
Amina, Amina, Haleluya!
Kwa upendo na shukrani, twakuabudu
Tunakutolea sifa, Bwana wa majeshi
Hakuna kama wewe
Amina, Amina, Haleluya!
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


Swahili

Hakuna kama wewe, Yesu wangu (There's no one like You, my Jesus)
Hakuna kama wewe, mfalme wetu (There's no one like You, our King)
Nani mwingine akufanana, Hakuna yeyote
Ndivyo twasema, Halleluya Hossana
Halleluya twakusifu we Bwana
Tukiinama na kuinuka
Tunakuabudu milele
Halleluya, Hakuna kama wewe Yesu
Mioyo yetu twaiinua, kwa utukufu wako
Tunaleta shukrani, kwa rehema zako
Twajitolea, roho zetu zakuabudu
Katika upendo wako, tunajitolea kwa dhati
Mioyo yetu yakushukuru, kila siku
Baraka zako hazihesabiki, zinatujaza furaha
Twakushukuru, kwa neema tele
Hakuna mwingine, wewe ni wa pekee
Halleluyia twakusifu we Bwana
Tukiinama na kuinuka
Tunakuabudu milele
Halleluyia, Hakuna kama wewe Yesu
Jesus
Halleluyia twakusifu we Bwana
Tukiinama na kuinuka
Tunakuabudu milele
Halleluyia, Hakuna kama wewe Yesu
Hakuna kama wewe
Amina, Amina, Haleluya!
Kwa upendo na shukrani, twakuabudu
Tunakutolea sifa, Bwana wa majeshi
Hakuna kama wewe
Amina, Amina, Haleluya!
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Anyasi Ekhuya
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Anyasi Ekhuya



Performed By: Anyasi Ekhuya
Language: Swahili
Length: 3:05
Written by: Anyasi Ekhuya
[Correct Info]
Tags:
No tags yet