Yesu, wewe ndiwe mwanga wangu
Nikiwa gizani, nakuona wewe
Nguzo yangu kwenye dhoruba
Daima upo nami, Bwana wangu
Mwanga wangu nikiwa gizani
Mwokozi wa maisha yangu
Yesu, wewe ndiwe mwanga wangu
Nakutukuza daima, Mfalme wangu
Mimi mpotevu, katika ulimwengu huu
Siyawezi maisha haya ya dhambi
Ninakuhitaji ewe Yesu
Kila siku, kila saa, Bwana wangu
Kwako Bwana ninarejea
Mikono yako inanipokea
Katika neema yako nisafishe
Nakuabudu daima, Yesu wangu
Mwanga wangu nikiwa gizani
Mwokozi wa maisha yangu
Yesu, wewe ndiwe mwanga wangu
Nakutukuza daima, Mfalme wangu
Kwako Bwana ninarejea
Ewe Yesu, mwanga wangu
Omwami wanje njerera
Uli obulamu bwanje
Omwami wanje njerera
Njerera
Njerera
Omwami wanje njerera
Njerera
Njerera
Omwami wanje njerera
Njerera
Njerera