Hmmm, Kaka yao
Yao
Ex pole, pole
Nakupa pole
Pole sana
Hiyo imekula kwako
Imeshaakula kwako dada
Ex pole, pole
Nakupa pole
Pole sana
Hiyo imekula kwako
Imeshaakula kwako dada
Hukujali
Nala robo unakula kizima
Hukujali
Ninavyokonda hata sura inatisha
Tena hujali
Unachochea pale wakiniponda
Sina amani
Hili penzi kifungo najiona niko jela
Ulidhani nitalia
Ulidhani nitaumia
Ulidhani ntajinyonga
Kuniacha bila taarifa
Fikisha meseji
Kwa mashoga zako
Wote waloniponda
Wambie natakata
Wambie natakata jama
Nakupa pole
Umejikwaa na glasi ishaavunjika
Maji yamemwagika
Siwezi rudi tena kwako
Nakupa pole
Umejikwaa na glasi ishaavunjika
Pengo limeshaazibwa
Siwezi rudi tena kwako
Ex pole, pole
Nakupa pole
Pole sana
Hiyo imekula kwako
Imeshaakula kwako dada
Ex pole, pole
Nakupa pole
Pole sana
Hiyo imekula kwako
Imeshaakula kwako dada
Ulinizamisha
Kwenye kina kirefu
Nikatapatapa kama mfa maji
Ukaniacha
Wewe huna huruma
Umefilisi mali zangu
Ulipokopakopa na madeni yote
Ukaniachia
Namtuma njiwa
Afikishe salamu
Namtuma njiwa
Afikishe ujumbe kwako
Pale nilipodondoka
Nilipata wakuniinua
Akaridhika na vyangu
Karidhika na kidogo changu
Ananipaka marashi
Siku hizi ninanukia
Naogeshwa kwa mahaba
Kwa mapovu ya kizanzibari
Tena penzi liko trendi
Haipiti siku sijapostiwa
Ananiposti kwa madaha
Kwa emoji za malavidavi
Ex pole, pole
Nakupa pole
Pole sana
Hiyo imekula kwako
Imeshaakula kwako dada
Ex pole, pole
Nakupa pole
Pole sana
Hiyo imekula kwako
Imeshaakula kwako dada