Sasa nakuacha uende
Nilikutunza moyoni mwangu
Nivigumu sana, ni unchungu mno
Lakini, nakuacha uende
Nilikupenda wewe pekee, nikakungoja, lakini sasa, nakuacha uende zako
Tulikutana jana
Kwa ndoto yangu, ulinijia na mapenzi, machozi yakikutoka ukasema
Ulinipenda?ulitaka kuniacha?Uliningojea
Nilitamani kuwa karibu nawe
Naomba usiniache
Sijui kama unanikumba. Ulichukua mapenzi yangu yote. Nisawa, haukujua nakupenda
Sasa, naota ndoto za furaha, na achana na uchungu, nimejawa na furaha
Ulinipenda kwasababu ya mpenzi wako. Lakini, nakupenda hata zaidi
Nitakulinda daima, sitakuacha kamwe
Thamani langu, penzi langu
Niambie tutakua pamoja milele
Ni amini mimi
Shikilia mkono wangu
Usiachanishe mikono yetu