Yelele mama
Ohh ohh ohh
DeciBrOs again
Yelele
Sho sho sho(yelele)
Sho sho sho(yelele)
Sho sho sho(yelele)
Sho sho
Mmh
Usinywe tungi kwa fujo
Usije ukazima ah
Una sho badae
Sho badae
Una sho badae
Usinywe tungi kwa fujo
Usije ukazima ah(sho badae)
Shooo sho
Una sho badae
Sho badae
Umenisimamisha
Unajua boss ananiita
Sitaki kuongea sana vipi?
Kuna sho babade
Sho badae
Kuna sho badae?
Mwenzako sitaki kulala
Niki lala itakua hasara
Napiga simu mbili za ma guitar ah
Kuna sho badae
Sho badae
Mwajuma Fatuma
Mwambie Halima
Aje kule kwa akina Juma ah
Mwambie tuna msubiri
Wenzake kule wapo wawili(yelele maa)
Mwambie tuna msubiri(yelele maa)
Sho badae
Mwambie apande bodaboda
Wenzake tumechoka kungoja
Na muda ukifika tunasepa ah
Tuna sho badae
Tuna sho badae
Sho badae
Tuna sho badae
Sho badae
Uuh oooooh
(hii imba menyewe)
Yelele mama(yelele)
Yelele mama(yelele)
Yelele mama
Yelele mama
Yelele mama(yelele)
Yelele mama(yelele)
Yelele mama
Yelele mama
Yelele mama(yelele)
Yelele mama(yelele)
Yelele mama
Yelele mama
Yelele mama(sho sho)
Yelele mama(sho sho)
Yelele mama(sho sho)
Yelele mama(sho sho)
Yelele mama(yelele)
Yelele mama(yelele)
Yelele mama
Yelele mama