Back to Top

Sina Raha Video (MV)




Performed By: Drama Drama
Language: English
Length: 3:03
Written by: Paul Chagula, Saidi Shabani




Drama Drama - Sina Raha Lyrics




Zahiri na nyota ya bundi
Hilo huwaga ndo sikatai
Nawenda kweli nikawa chumvii
Nimeshindwa kukunogesha chai
Mie sioni kokotee
Mpenziiii
Nimeanguka niokote
Sijiwezii
Nimekonda nipo loko (Loko)
Yani moto (Moto)
Na vutika kama mpoto (Mpoto)
Ponenaa
Asa kwaninii
Haunaga hata huruma
Staki kuaminii
Umenimeza umentema
Umenimeza umentema

Mwenzako sina raha
Mie sina raha
Mwenzako sina raha
Mie sina raha
Mie sina raha

Kweli kipya kinyemii
Wazamani nishavundaa
Umenibwaga chinii
Kisa sinaga mavumbaaa
Unaniuzigi kweliii
Ukitongozwa ujui kukataa
Vipi usimamishe gari
Naangalia atuko mataa
Nimekonda nipo loko (Loko)
Yani moto (Moto)
Na vutika kama mpoto (Mpoto)
Ponenaaa

Asa kwaninii
Haunaga hata huruma
Staki kuaminii
Unaniludisha nyuma

Mwenzako sina raha
Mie sina raha
Mwenzako sina raha
Mie sina raha
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Zahiri na nyota ya bundi
Hilo huwaga ndo sikatai
Nawenda kweli nikawa chumvii
Nimeshindwa kukunogesha chai
Mie sioni kokotee
Mpenziiii
Nimeanguka niokote
Sijiwezii
Nimekonda nipo loko (Loko)
Yani moto (Moto)
Na vutika kama mpoto (Mpoto)
Ponenaa
Asa kwaninii
Haunaga hata huruma
Staki kuaminii
Umenimeza umentema
Umenimeza umentema

Mwenzako sina raha
Mie sina raha
Mwenzako sina raha
Mie sina raha
Mie sina raha

Kweli kipya kinyemii
Wazamani nishavundaa
Umenibwaga chinii
Kisa sinaga mavumbaaa
Unaniuzigi kweliii
Ukitongozwa ujui kukataa
Vipi usimamishe gari
Naangalia atuko mataa
Nimekonda nipo loko (Loko)
Yani moto (Moto)
Na vutika kama mpoto (Mpoto)
Ponenaaa

Asa kwaninii
Haunaga hata huruma
Staki kuaminii
Unaniludisha nyuma

Mwenzako sina raha
Mie sina raha
Mwenzako sina raha
Mie sina raha
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Paul Chagula, Saidi Shabani
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Drama Drama

Tags:
No tags yet