Ankh on the beat, yeah
Nitaflex ayy
Nitaflex ayy
On a bitch
Nitaflex
Na waresh
Yeeeh
Nitaflex ayy
Nitaflex ayy
Nitaflex
Na waresh
Hivi ndio tunaingia, wanasema grand entrance
Veterans kwa game - wanasema grandparents
Drip imekubali unaeza check my appearance
Adjust hizo glasses you can see us very clearly
Clear the way for Him, coz ni Big Stepper
Back left - ndio me hujiseti nikisepa
Nina ngwai, nina maji, nina tools na ketepa
Nikiwai yule manze wa ma-thighs naeza mbeba,
Mtoto ngozi laini nampeleka mos mos
I'm in love with the coco, unaeza show Rose?
Anadai luv ya bad boys, is it us those?
Tunaeza piga picha usijaribu ku upload, please
Venye me nacheza I can't trust these hoes
Venye me nacheza me naipiga hadi idoze
Once bitten, twice siezi walk this road ayy
Leo nitaflex, nitaflex
Nitaflex, nitaflex on my ex
Leo nitaflex, na waresh
Toka East na wengine toka West
Leo nitaflex, nitaflex
Nitaflex, nitaflex on my ex
Leo nitaflex, na waresh
Toka East na wengine toka West
Hivi ndio tunaingia and I'm taking up space
Nilianza toka downtown I'm picking up pace
Na kutoka, shift levels naeza sema God's grace
Nikifika scene inakuwanga closed case
Na sijaanza kucome hiyo ilikuwa ni foreplay
Leo nitaflex with my sect in my section
Waresh toka West ndani ya Benz, cheki dresscode
She came with her friends but sipatikani friendzone
Everything fresh, designated driver let's goo!
Never count a loss, zangu zote huwanga lessons
Me ndio mspecial
Nitakupigia kesho after deal zimeivana, but for now, take the edge off
Sip some, pop some, pia unaeza smoke some
Hivi ndio tunaingia wananiita Mr. Awesome
Rizz niko nayo nimebeba ndani ya toja
Yeah, never fold under pressure
Leo nitaflex, nitaflex
Nitaflex, nitaflex on my ex
Leo nitaflex, na waresh
Toka East na wengine toka West
Leo nitaflex, nitaflex
Nitaflex, nitaflex on my ex
Leo nitaflex, na waresh
Toka East na wengine toka West