Ushaliamsha dude Natazama si kuchungulia
Ilete kinyumenyume Mi dereva mzigo napakia
Nuru ya roho Ushaniwasha mama pingamizi sina
Wacha choyo Usininyime raha mi nazizima
Ilete.. Ilete.. Usiwaze sana nisisepe
Nikupe banana ipekeche Hayaa..
Ohh mama
Ilete ilete Usiwaze sana nisisepe
Nikupe banana ipekeche Hayaa
Kamekamilika Katazame kila kona
Kanavyomwagika Mate yanitona tona Ilete!..
Karibu yangu we ilete Sipigi supu wala kete
Mazaga yote mi nichote
Nuru ya roho Ushaniwasha mama pingamizi sina
Wacha choyo Usininyime raha mi nazizima
Ilete.. Ilete.. Usiwaze sana nisisepe
Nikupe banana ipekeche Hayaa..
Ohh mama
Ilete ilete Usiwaze sana nisisepe
Nikupe banana ipekeche Hayaa
Sikupimii utaipata Vyovyote unayotaka
Sizimi kwa kula bata Ukisema waipata
Nuru ya roho Ushaniwasha mama pingamizi sina
Wacha choyo Usininyime raha mi nazizima
Ilete.. Ilete.. Usiwaze sana nisisepe
Nikupe banana ipekeche Hayaa..
Ohh mama
Ilete ilete Usiwaze sana nisisepe
Nikupe banana ipekeche Hayaa