Mwanzo wake ni kama utani
Nilipotunga wimbo kwenye kurasa niimbe
Nilionayo kifuani
Yote niyatapike kwenye kipaza nisikike
Round round i went on searching grounds
Haikua rahisi
Nilitamani kuasi
Loud out loud i kept on singing loud
Mbona hamusikizi
Nipeni nafasi
Imba