[ Featuring cannibal ]
Yes you reign in heaven on earth and beneath Blessings
Napiga goti naahidi kuamini mungu tu
Najua kesho yangu sikukuu...
Napiga goti naahidi kuamini mungu tu
Najua kesho yangu sikukuu...
Sasa nimesimama Nimesimama
Tena niko imara, Niko imara
Yote kwa sababu yake ye
Sasa nimesimama Nimesimama
Tena niko imara Niko imara
Yote kwa sababu yake ye
Ukweli upo moyoni Kila unachopitia hua ni mitihani...
Yeah Una nguvu juani We pambana sana epuka kisirani
Dunia ina mengi ujionee
Watakuja wengi na waende
Abaki wa kweli akupende
Yule alie juu, Nae ni mungu tu
Napiga goti naahidi kuamini mungu tu
Najua kesho yangu sikukuu...
Napiga goti naahidi kuamini mungu tu
Najua kesho yangu sikukuu...
Sasa nimesimama Nimesimama
Tena niko imara, Niko imara
Yote kwa sababu yake ye
Sasa nimesimama Nimesimama
Tena niko imara Niko imara
Yote kwa sababu yake ye
Hii ni kama ndoto, Kanipenda mi kijana wa ghetto
Chosen one sina mchecheto
Imani yangu kwako mambo mseto
Dem never know where i am from
In the Lord am going strong
In the morning and the night i sing your song
Nguvu yangu ni we Mpaji ni we
Sioni yule atanitenganisha na we
Mwangaza ni we Mlinzi ni we
Ulivyo mwaminifu mi ntakufa nawe
Naagalia juu juu juu juu
Siwezi zama nilienae ni mkuu
Naangalia juu juu juu juu
Najua inakuja sikukuu
Napiga goti naahidi kuamini mungu tu
Najua kesho yangu sikukuu...
Napiga goti naahidi kuamini mungu tu
Najua kesho yangu sikukuu...
Sasa nimesimama Nimesimama
Tena niko imara, Niko imara
Yote kwa sababu yake ye
Sasa nimesimama Nimesimama
Tena niko imara Niko imara
Yote kwa sababu yake ye