Unapenda muziki Mi ni mtumbuizaji
Mi nawaridhisha roho Mi naburudisha na changu kipaji
Mi sipendagi kiki Na wala simwagi radhi
Nikubali nilivyo Hii kwangu ni kazi Yeah yeah
Nimesugua miaka mingi na bado nipo Sijakata tamaa
Kutimizaga ya msingi sio simple Iondoe tamaa
Usela shonde mi sipendi Kanyagia
Urafiki wa kupretendi Potezea
We aminia ndoto zako Endelea
Iko siku utapaa na kuselelea
Ni wee ni wee ni wee ni wee ni wee
Nasema tena niwewe ni wee ni wee
Ni wee ni wee ni wee ni wee ni wee
Nasema tena niwewe ni wee ni wee
Ongezea tu bidii we utatoka
Si eti hawasikii utaomoka
Ongezea tu bidii we utatoka Utatoka utatoka
Ongezea tu bidii we utatoka
Si eti hawasikii utaomoka
Ongezea tu bidii we utatoka Utatoka utaomoka
Wasikwambie hautaweza we fanya
Naaminia nnachopenda nafanya
Mziki wangu naupenda hata kama
Sijulikani duniani iko namna
Mi nitapaa Usijali misemo Kaba na vitendo
Sote tutang'aa Tueneze upendo Tufate malengo
Nimesugua miaka mingi na bado nipo Sijakata tamaa
Kutimizaga ya msingi sio simple Iondoe tamaa
Usela shonde mi sipendi Kanyagia
Urafiki wa kupretendi Potezea
We aminia ndoto zako Endelea
Iko siku utapaa na kuselelea
Ni wee ni wee ni wee ni wee ni wee
Nasema tena niwewe ni wee ni wee
Ni wee ni wee ni wee ni wee ni wee
Nasema tena niwewe ni wee ni wee
Ongezea tu bidii we utatoka
Si eti hawasikii utaomoka
Ongezea tu bidii we utatoka
Utatoka utatoka
Ongezea tu bidii we utatoka
Si eti hawasikii utaomoka
Ongezea tu bidii we utatoka
Utatoka utaomoka