[ Featuring Shally Maina ]
Baby nilishe Mwenzako nimekutamani sana
Nilishe Ni siku nyingi hatukutana
Baby nilishe
Hisia tele mi zimenikwama
Nilishe Baby nilishe
Baby nilishe
Songa karibu Baby kwa utaratibu
Daktari nikutibu Nikuponye..
Punguza aibu Watuskie kwa wivu Unilishe zabibu NikunyonyeNipe mi nikusifu Baby vumilia mi wako tabibu
Usijali sitokonda Chumvini nikizama mi safura haitanigonga
Ayy yyaa yyyaaa yaaa Nikiwa ndani usione Hayaa yaaa yaWe sema yote girl...
Nilishe Baby nilishe
Baby nilishe
Toka juu kichwani nakuramba mpaka chini
Usiogope majirani na wajue kuna nini
Toka juu kichwani nakuramba mpaka chini
Usiogope majirani na wajue kuna nini
Baby nilishe Mwenzako nimekutamani sana
Nilishe Ni siku nyingi hatukutana
Baby nilishe
Hisia tele mi zimenikwama
Nilishe Baby nilishe
Baby nilishe
Baby Nakungoja Tonight is the night Nimekuandalia
I wanna feel your skin on mine
Niko na vela we come tu na rizla
Lazima tukiwashe Kabla ya ku foreplay
Vile nahisi naughty Nitakupa vinasty
Baby nilishe Mwenzako nimekutamani sana
Nilishe Ni siku nyingi hatukutana
Baby nilishe
Hisia tele mi zimenikwama