Amenifanya nidate na umbo lake ohh
Amejileta kivyake mambongi no
Maji ya kunde rangi yake Mikorogo noooo aah
Kiuno bahali yake ohh
Kua na mimi usiwaze Umepandisha pandisha noma
Treat you like a queen my baby
Never leave you lonely be your shoulder
Baby dont think about it Umenipandisha pandisha noma
Let me be your king my baby
Uzingushe zungushe mama
Nipe yote nipe yote
Izungushe zungushe mamaa
Nipe yote nipe yote
Ifikiche fikiche mamaa
Nipe yote nipe yote
Izungushe zungushe mamaa
Nipe yote nipe yote
Ifikiche fikiche mama
Mekutafuta kwa makini
Baby come close na mimi
Ipeleke mpaka chini
Kikode kode kode kode haya
Sikuchochi niamini
Kesha yangu si utani
Waonyeshe uko na nani
Kikode kode kode kode haya
Kua na mimi usiwaze Umepandisha pandisha noma
Treat you like a queen my baby
Never leave you lonely be your shoulder
Baby dont think about it Umenipandisha pandisha noma
Let me be your king my baby
Uzingushe zungushe mama
Nipe yote nipe yote
Izungushe zungushe mamaa
Nipe yote nipe yote
Ifikiche fikiche mamaa
Nipe yote nipe yote
Izungushe zungushe mamaa
Nipe yote nipe yote
Ifikiche fikiche mama
You take away my mind You carry go
Chizi poyoyo
You take away my mind You carry go
Chizi poyoyo
You take away my mind You carry go
Chizi poyoyo
You take away my mind You carry go
Chizi poyoyo
Nipe yote nipe yote
Izungushe zungushe mamaa
Nipe yote nipe yote
Ifikiche fikiche mamaa
Nipe yote nipe yote
Izungushe zungushe mamaa
Nipe yote nipe yote
Ifikiche fikiche mama