Sita ogopa mimi mabaya yote
Sita ogopa mimi mabaya yote
Sita angaika mimi katika shida
Kwani yeye, muana wa Mungu alibeba yote
Kwani yeye muana wa Mungu alibeba yote
Sita ogopa mimi mabaya yote
Sita ogopa mimi mabaya yote
Sita angaika mimi katika shida
Kwani yeye, muana wa Mungu alibeba yote
Kwani yeye muana wa Mungu alibeba yote
Kanikombowa mimi muzabibu niliyetupua
Kweli uyu Yesu nimukubwa eeh
Kwani yeye muana wa Mungu alibeba yote
Kwani yeye muana wa Mungu alibeba yote
Nangaliya shida zangu na mateso niliyapitiya
Nangaliya mapito yangu, uyu bwana ameniokowa
Uyu Yesu wangu ooh
Uyu Yesu, ameniokowa
Ebwana siogope kitu kwani pale
Musalaba umesema yote yamekwisha
Ebwana siogope kitu kwani pale
Musalaba umesema yote yamekwisha
Yatosha, yadumu milele
(Neema yako Mungu) yatosha yadumu milele
(Neema yako Yesu) yatosha yadumu milele
(Naimba nikwa neema yako) yatosha yadumu milele
Naimba nikwa neema yako
Nacheza nikwa neema yako
Ebwana.