Back to Top

Joefes - Outro Lyrics



Joefes - Outro Lyrics




[ Featuring Arif ]

Ni nightfall,
Stars kwa sky twinkle twinkle night glow
Mbona unajam ikicome to my goal
Shorty anadai kunitie my soul
Fan alisweat nikalose my cool
Hata ukiwa swine huezi get my flu
Cold design inafreeze your flow
Nimecome na grip kurelease their claws
False info huwanga cause ya fall
Ya mafriends imbo on the move kustall
Yoh
Yoh
Unasample shit yangu yako inakua stool
Huezi funzwa hizi vitu ukiback to school
Life ni mzigo so ni must upull
Huezi data ka mneti ya zuku pipu
Nacheza pipe kama mtambo ya piper
Appearance ya mbuzi na character ya viper


Track ishaiva Hauna clue
Hauna balls na unabaki kuwa blue
Hauna glue rhyme haziezi stick
Hauna drool hauezi spit design ka hii
Hauna tools juu kitu unaeza tu tema jaba
Cardinal sin kuonja honey kabla honeymoon
Mwanaume mzima kujilaza bed hadi noon
Tulilewa once na ilikua bluemoon
Once in a blue moon
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Ni nightfall,
Stars kwa sky twinkle twinkle night glow
Mbona unajam ikicome to my goal
Shorty anadai kunitie my soul
Fan alisweat nikalose my cool
Hata ukiwa swine huezi get my flu
Cold design inafreeze your flow
Nimecome na grip kurelease their claws
False info huwanga cause ya fall
Ya mafriends imbo on the move kustall
Yoh
Yoh
Unasample shit yangu yako inakua stool
Huezi funzwa hizi vitu ukiback to school
Life ni mzigo so ni must upull
Huezi data ka mneti ya zuku pipu
Nacheza pipe kama mtambo ya piper
Appearance ya mbuzi na character ya viper


Track ishaiva Hauna clue
Hauna balls na unabaki kuwa blue
Hauna glue rhyme haziezi stick
Hauna drool hauezi spit design ka hii
Hauna tools juu kitu unaeza tu tema jaba
Cardinal sin kuonja honey kabla honeymoon
Mwanaume mzima kujilaza bed hadi noon
Tulilewa once na ilikua bluemoon
Once in a blue moon
[ Correct these Lyrics ]
Writer: JOSEPH NYAMWEYA
Copyright: Lyrics © Universal Music Publishing Group

Back to: Joefes



Joefes - Outro Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Joefes
Featuring: Arif
Language: English
Length: 1:26
Written by: JOSEPH NYAMWEYA
[Correct Info]
Tags:
No tags yet