Back to Top

Kampari - Umenikamata (feat. Eddy Mohamed) Lyrics

Kampari - Umenikamata (feat. Eddy Mohamed) Lyrics

Kuna kitu taka sema lakini naogopa
Utahisi ni mapema halafu utaondoka
Ila vyovyote njoo karibu twende popote
Sijaona kama wee ntapambana nisikukose
Umendeza sana macho hayachoki kutazama
Ukinipa nitazama umenivutia unachofanya
Japo gari sina naomba nikujue hata japo jina
Ebu kuwa na huruma You are so serious ama unapima
Umenikamata baby boy jua mi ni mateka wako
Watapepesa tena watatwanga na kukupeta

Come over baby I wanna be with you boy
Usiwasikilize mimi wako usiniumize
Come over baby I wanna be with you boy
Usiwasikilize mimi wako usiniumize

Juzi jana nimelia sana
Nayule manzi nilipokuona
Nikanywa pombe ulinichanganya
Ndo mana nasema
Masaa yanakwenda kuwa true usijenitenda
Na upendo umenikaba koo please usije kwenda
Nitatulia mikononi mwako sitakimbia
Nishajifia tena ni mateka nishakwambia

Japo gari sina naomba nikujue hata japo jina
Ebu kuwa na huruma You are so serious ama unapima

Come over baby I wanna be with you boy
Usiwasikilize mimi ni wako usiniumize
Come over baby I wanna be with you boy
Usiwasikilize mimi wako usiniumize

Sema basi kitu gani unacho ogopa
Hema Basi vitu flani nnavyokupa
Kwa muda gani basi siri utaificha
Kama kupenda ulishapenda haina haja kuficha
Ngoja nikupe siri moja kuhusu mimi
Nilishajua unanipenda toka zamani
Nikawa nasubiri utakapokuwa tayari
Kama fresh okay? nipe habari

I wanna come over, No more drama now get over
Time to surrender baby hand it over
I've been waiting long time I'm your Casanova
Niko hapa nasubiri leo Sitochoka si utakuja sio
Nitafurahi ukiniambia ndiyo nitakuwa High juu ya hao vimeo Niite MO

(I wanna Come Over)
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Mohamed Mohamed
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Kampari

Kampari - Umenikamata (feat. Eddy Mohamed) Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Kampari
Length: 3:53
Written by: Mohamed Mohamed
[Correct Info]
Tags:
No tags yet