Back to Top

Kays - Wanachoma Picha Lyrics

Kays - Wanachoma Picha Lyrics

Wanalea vitambi Raia wamesota, aargh, ati wanalea vipaji na wasanii wamesota
Param Param Param Param, Param Param Param

Wa, wa, wanajichocha kisha, wanaimba ma offkey wanabahatisha, woiyee
Wanatuaibisha, no wonder huko nje hatuwezi shinda, aaje
Ali buy mzinga, nikaomba ka toti akaninyima
Sahii, anatapika ka ugali skuma kale alishika
Wanachoma pikicha, unadhani ni figa kumbe ni fake digida, bum bum
Wanatuingiza, ati born tao na ni nyasuguta

Wanachoma Picha, Cheki vile wanachoma picha

De, de, dem, Damme, hana makosa
Amesoma hakunanga kitu amekosa, ako bien
Anatafuta sponsor, juu chali yake bado chini hajaosa
Usiku mzima nyerere mchana P2, Pigwa miti ndio upate kakitu
Umevalia dress lakini ni see-through, vile unakatika sisemi kitu
Cheki vile wanamagaanga, Kila siku kashfa na mavisaanga
Watotoo wanabakaanga, wakisota wanafika kwa wagaanga

Wanachomaa, cheki vile wanachomaa,wanachoma picha
Wanachomaa, cheki vile wanachomaa, wanachoma pikicha
Wanachomaa, cheki vile wanachomaa, wanachoma picha

Wanachoma Picha, yeah, Cheki vile wanachoma picha, wanaunguza man
Wanachoma Picha, Eeh, Cheki vile wanachoma picha, Wanafanyaaje

Wanachoma Picha, Eeh, Cheki vile wanachoma picha, C'mon

Picha
C'mon, ati wanalea vipaji na wasanii wamesota, hahaa, whoo
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Stephen Kungu
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Kays

Kays - Wanachoma Picha Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Kays
Length: 2:55
Written by: Stephen Kungu
[Correct Info]
Tags:
No tags yet