Leteipa the King - Nipende mimi Lyrics


Leteipa the King Lyrics

Nipende mimi Lyrics
Verse 1:
Umeketi, kwa corner, Ukifikiria,
Vile maisha, ya mapenzi, yamekukalia,
Any shoe that, you admire, inawa ndogo kwako dear,
Mpaka sasa, umeamua, peku kutembea,
Umesahau kiatu chako Kipo,
Kimetengezwa tu kwa ajili yako

Hook:
Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie,
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,

Chorus:
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio,
Yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio,
They used you na sasa wanakuita kifagio,
But nipende mimi...
Nipende mimi

Verse 2:
You think that, you are lonely,
Coz no one is close to you,
And even those that, are closer, they never bother to fight for you,
Umeapa kamwe, hutawahi penda,
Juu wanaume wote, ni mafisi, mwishoni watakutenda,
Give me a chance to prove your statement is wrong,
Naapa kwa wote wanaoskiza this song

Hook:
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio,kilio kiliiiiioo

Hook:
Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie,
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,

[Thanks to leteipathekk for adding these lyrics]


Soundtracks / Top Hits / One Hit Wonders / TV Themes / Song Quotes / Miscellaneous