Back to Top

Nasaka Nadai Video (MV)

Performed By: Menace Himself
Length: 3:00
Written by: Batrium Shannon Muruka

Menace Himself - Nasaka Nadai Lyrics

Eeh, beat ni yake R N E
Jeshi Vengeance E N T, Menace

Saka nadai, saka nasaka nadai nasaka nasaka nadai
Nipate nitese niwai, pate nitese niwai nipate nitese niwai
Wallahi wallahi, taka yaani naidai na si baadaye saa hii saa hii
Ni saa hii ni saa hii, kazini all time tafuta left na right
Nasaka nasaka nadai, saka nasaka nadai nasaka nasaka nadai
Nipate niwai, pate nitese niwai nipate nitese niwai
Wallahi wallahi wallahi, taka yaani naidai
Na si baadaye saa hii saa hii, ni saa hii ni saa hii
Kazini all time, tafuta left na right, left na right

Nitazidi na si ati nini (aye)
Hii pressure naipata kwa wingi (kwa wingi)
Ku saka nasaka, napata, nagawa ndio pia mandugu wadishi
Ka silipwi mi si sababishi, bila ganji uko mi sifiki (siwezi)
Ma-promoter wamejaa ufisi, wanatukanja wakitupinji
Wera nayo kupata ni nadra
Shinda baze ama ufanye umakanga (Beba beba)
Morio swara zilimuandama, akachoka na akajimada
Hii shughuli najua ni mimi tu (bana joh)
Nakazana nikiamini aliye juu, ku survive mi singe survive
Kwa izi street nina shit kibao nimedu

Vile mi nataka ndio nafanya, zako opinion jiekee
Tangu September 2000, bila hata plan nimekuwa niki-finesse
Nina audience na-address, nani mwingine ka si Menace?
Walijing'ora waki-jigamba, nikawasili wakaruka fence
Na ni blanda ka bei hufiki, piga hesabu, rudi kijiji
Nina pressure sina usingizi studio nakesha inanibidi
Chunga sana ka bei hufiki, si rahisi ukiwa mjini
Na si siri, nabonga sifichi ukitupa rada unakosa dishi

(Saka nasaka nadai, nasaka nasaka nadai)
(Pate nitese niwai, nipate nitese niwai)
(Taka yaani naidai, na si baadaye saa hii saa hii)
(Kazini all time, tafuta left na right)

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Batrium Shannon Muruka
Copyright: Lyrics © Menace Himself

Tags:
No tags yet