Woosaahhh Serenity Haaa
Cheki cheki Cheki Rada EC
Motif Di Don (Dooon)
Cheki, niko na fom, anataka ni perform
Mi niko na passport, na niko kwa chuom
Niko na fom, anataka ni perform
Anataka 20 rounds, utadhani ye ni Glock
Mi amor, anasema anataka more
Mi amor, anasema anataka more
Mi amor, anasema anataka more
Na tukienda fom, anataka ni perform
Amepanda nduthi, ndia apewe ndizi
Come, nikudigii uifeel kwa ufizi
Na vile utasweat maze itakuwa tizi
Usihesitate tutakuwa tu wazazi
Nguna devine na kolo bado ni fine(bado ni fine)
Sipendi wine na msupa anadai kuwhine
Siwezi mind, akidu the dirty whine
Na makolo naziwasha akinipapasa kwa dipra (Ha ha)
Niko na dem, mwenye ako na game pia
Ako physically fit ananipandisia (ananipandisia)
Ati anaku za madame wametoka Somalia
Tumemedi na Alia, mafi mushkila
Cheki, niko na fom, anataka ni perform
Mi niko na passport, na niko kwa chuom
Niko na fom, anataka ni perform
Anataka 20 rounds, utadhani ye ni Glock
Mi amor, anasema anataka more
Mi amor, anasema anataka more
Mi amor, anasema anataka more
Na tukienda fom, anataka ni perform
Mi amor anasema anataka more(taka more)
Mi amor anasema anataka more(taka more)
Mi amor anasema anataka more na tukienda fom anataka ni perform
Ati straight kilimani, mpoa shika gode usiworry
Huwezi come through unipate na mabani
Wanabanja daily EC ulidu??!! Zimeshika zimechrome tuko jaba Malibu
Huwezi kuwa pedi unadai nikuseti
Maforeign kama thao siitabaki nimebleki
Madam wako keki anadai nimdeki anawika ako ready amekuja ako shakey
Henny kila day, na missingi adi konyagi
Straight out east, tukizoza mashinani
Zake zimeshika, zinasema animarry
Tuko joh kwa keja, kwa keja, kwa keja, kejani
Cheki, niko na fom, anataka ni perform
Mi niko na passport, na niko kwa chuom
Niko na fom, anataka ni perform
Anataka 20 rounds, utadhani ye ni Glock
Mi amor, anasema anataka more
Mi amor, anasema anataka more
Mi amor, anasema anataka more
Na tukienda fom, anataka ni perform
Mi amor anasema anataka more(taka more)
Mi amor anasema anataka more(taka more)
Mi amor anasema anataka more na tukienda fom anataka ni perform
(It'ssss Felanaaaa)
I like it when you give it to me like that, oh like that
You know that I will keep coming back, keep coming back
I like it when you give it to me
Like that ... oh, like that
You know that I will keep coming back, keep coming back
Mi amor, anasema anataka more(Taka more)
Mi amor, anasema anataka more(Taka more)
Mi amor anasema anataka more na tukienda fom anataka ni perform
Mi amor anasema anataka more(Taka more)
Mi amor anasema anataka more(Taka more)
Mi amor anasema anataka more na tukienda fom anataka ni perform