Back to Top

Nandy - Wasikudanganye Lyrics

theme

Nandy - Wasikudanganye Lyrics
Official

Wasikuambie kwamba mimi eti sina lolote
Labda wakuambie sina ujanja juu yako
Wasikudanganye watakupa utakacho chochote
Wataitoa wapi furaha yako
Maana wabaya hawatoki mbali
Jirani yako we ndio anapenda usile
Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea
Hawatokujali kipindi ambacho mawazo yanafanya usile
Watakutupia mbali, hmm

Si ulisema unataka gari na nimekubali kuenyeka mie
Tule mbegu na ugali kesho tutapata kipenzi nivumilie
Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali kitanzi nining'inine
Si tumetoka mbali mazoea

Na ushakuwa maua (moyo moyo)
Wangu mimi unauendesha (moyo moyo)
Funga macho na masikio ziba (moyo moyo)
Usiwasikie usiwaone pia (moyo moyo)
Umegota kwako, moyo wangu (moyo moyo)
Auuu uuh (moyo moyo)
Usiwaone pia

Kukosa majaribu moyo usije tia donda ukauchubua
Maumivu yani adhibu kisa upendo furaha yangu ukaichukua
Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu siku ntakosea
Kukuacha sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia
Ila usifanye kama fimbo
Ufanane na tindo
Ukashindwa kujali maumivu yangu

Oh funga macho na masikio ziba (moyo moyo)
Usiwasikie usiwaone pia (moyo moyo)
Umegota kwako, moyo wangu (moyo moyo)
Auuu uuh (moyo moyo)

Moyo Moyo eh Moyo wangu
Hah moyo (moyo moyo)
Wangu mimi (moyo moyo)
Funga macho, yeah yeah (moyo moyo)
Oh baby, yeah yeah (moyo moyo)
Funga macho...eh
Funga macho...eh
Funga macho...eh
The African princess!
[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Back to: Nandy

Nandy Wasikudanganye Video

Performed By: Nandy
Length: 3:48

Tags:
No tags yet