Yeeeyee nooo noo
Nahreel on the beat
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Nina midadi kayalumba(weee)
Kibao kata ukinyonga(ooonaaa),
Mfukoni namavumba (weee)
Rungu ndichi linasunta eeeeh,
Yani bo bo bo o o
Kana nikoshaga roh o o o
Yani nasimama dee de de de
Kakitingisha wowo wo wo o
Baby gal dance for me one time (Secretoo)
Miuno feni kunata (Secretoo)
Tena jifunge na ngata (Secretoo)
Zile za kibaooo kataa (Secretoo)
Baby gal dance for me one time (Secretoo)
Miuno feni kunata (Secretoo)
Tena jifunge na ngata (Secretoo) Laalaalaalaalaaaaaeh
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee (Aaaiiirrruubudaaan)
Yani katoto kandii, kako ndindindii...
Kamekazika yani ngingingii.
Nyuma mbwii! kako mbwimbwimbwii...
Kana misifa shangingingii
Nilikavizia kitamboo(aaaee)
Leo kamenasa chamboo (aaaee)
N'taakapakia na mgandoo (aaaee)
Nikajegeje ka Ramboo(aaaee)(Buuumbaaaiii)
Kana michezo ya ngomani sindimba lizombee.....
Nami nampatia za pwani Muhogo wa jang'ombee.
Yani ee e e e
Kana nikoshaga roh o o o...
Huwaga nasimama de de de de...
Kakitingisha wowo wo wo o..
Ooh yaaa oooh nabembea...
Yani siwezi kutembea...
Nchecheme na chechemea yani hadi na legea aki
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Maumivu naugulia mwiba ukizama nahisi mateso,
Utamu na ng'ang'ania ndizi kwa nyama napata mchecheto.
Nakuna nazi kwa mkongojo(aaaee)
Naunga mchuzi wa sotojo(aaaee)
Uno la rosti rojorojo(aaaee)
Mikunjo fulani Wabogojo(aaaee)
Kibao kata tenteme teteme
Kilingeni kuzama uchutame,
Huwezipata wee mpaka usimamee
Haichagui mwembamba mnenee.
Nikalaze kwa bedi kitanda ee(Kwa ghettooo)
Nikachezeshe Samba ee(Loketooo)
Na kalivyo na bodi kinanda ee(Sepetu ooo)
Tunguli zimenibamba ee(Mobettooo)
Maaamaa
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee