Oh!Baby-Ooh!Baby
Tumetoka mbali
Wewe wangu honey,milele milele
No!no!
Oh baby!, mi nishakupenda
Hatuchoki tena, vigele vigele
Baby,mi nishakupenda
Sweetie,mi ushaniteka
Watasema,watabonga
Lakini mie nishakupenda
Iwe ukweli,iwe uongo
Yaliyopita kwangu,siyo ndwele
Watanena,watalonga
Mtima wangu ,umeshaufunga
Mi ni wako ,wa milele
Liwe liwalo,wewe wangu roho
Hey! Attention! Attention! Everybody attention
Announcement! Announcement!Everybody know this
She's taken! I'm taken,we both taken
Not single,off market
Ambia streets ,goodbye ,we no longer available
All hoes,no boos,we no longer doing that
Bytheway go away,me sidai stress,me sidai next,me sidai ex
Ninachotaka niko nacho,wueeh hauoni
Etty nimerogwa,hauwezi elewa
Nakandwa mabega,kitovu,mashavu
Maji ni moto,chakula kitamu
Baby,mi nishakupenda
Sweetie,mi ushaniteka
Watasema,watabonga
Lakini mie nishakupenda
Iwe ukweli,iwe uongo
Yaliyopita kwangu,siyo ndwele
Watanena,watalonga
Mtima wangu ,umeshaufunga
Mi ni wako ,wa milele
Liwe liwalo,wewe wangu roho
Baby na!Mama na nyar mara sudi kaa
Picha chap chap,wasiseme nimekuficha
Mapenzi siri shubiri,ungezea kiburi kaburi
Tamaa otama tatemo ,ikizidii nitang'oa macho
Nikuwe blind nisione akina dada9
Na picha yako ndio ibaki kwenye akili
Figure right,figure eight na hayo macho bright
Harufu yako ninuse ,nijulie far away
Usitete nakutesa ,vumilia mum
You're the only one
You're the one I love
You're the one I want
In sadness,in happiness
Oh!Baby-Ooh!Baby