Nakucheki, ukinicheki
Tafadhali usiniangalie hivyo
Najua ninakaa fiti sana
Huyu dame anajipenda
Lakini macho yako yanasema vingine
Labda ukamtafute mwengine
Ata sitakupa namba pengine
Sitasema tena mara ya nne
Ooooooo weri koda yawa
Ooooooo I've got my own lover
Oooouoo weri koda yawa
Ooooooo I've got my own lover
Siwezi
Mshikaji wangu ako nyumbani
Siwezi
Ninayemwenzi ako chumbani
Siwezi banjuka
Mshikaji wangu ako nyumbani
Siwezi
Ninayemwenzi ako chumbani
Siwezi banjuka
Mshikaji wangu ako nyumbani
Siwezi
Ninayemwenzi ako chumbani
Siwezi banjuka
Mshikaji wangu ako nyumbani
Siwezi
Ninayemwenzi ako chumbani
Ooooooo
Ooooooo
Oooouooo
Ooooooo
Siwezi banjuka
Mshikaji wangu ako nyumbani
Siwezi banjuka
Ninayemwenzi ako chumbani
Siwezi banjuka
Mshikaji wangu ako nyumbani
Siwezi banjuka
Ninayemwenzi ako chumbani
Siwezi banjuka
Mshikaji wangu ako nyumbani
Siwezi banjuka
Ninayemwenzi ako chumbani
Siwezi banjuka
Mshikaji wangu ako nyumbani
Siwezi banjuka
Ninayemwenzi ako chumbani