Back to Top

Stigah - Happy Birthday Jesus Lyrics



Stigah - Happy Birthday Jesus Lyrics




Ogeni mikono, mukae tayari kukula Christmas

Wamama wanapenda Christmass
Christmas
Mambuyu wanapenda Christmass
Christmas
Watoto Wanapenda Christmass
Christmas
Kila mutu napenda Christmass
Yes

Wazee wanapenda Christmas
Christmas
Vijana wanapenda Christmas
Christmas
Kila mtu anapenda Christmas Eeh
Christmass! Hey
Christmass! Hey

Wachungaji waliwacha mbusi zao,
Walipopata hii good news
Wakapelekea Yesu mazawadi,
Sababu wanapenda hii Christmas

Hata wale three wise men
Walipopata hii good news
Walijikokota hadi kwenye manger
Ya Yesu, sababu wanapenda Christmas

Najua umekuwa busy sana
Lakini hii kitu ishaa fika
Utafunga, hiyo kazi yako ujibambe
Najua napenda Christmas
Hiyo kazi anaweza ngoja,siku
Release mboch wako na soja
Waende wakakule Siku Kuu
Juu pia wanapenda Christmas

Tunafurahia Christmass hivi
Meeting and feasting
Dancing and singing
Hearts with thanksgiving

Wamama wanapenda Christmass
Christmas
Mambuyu wanapenda Christmass
Christmas
Watoto wanapenda Christmass
Christmas
Kila mutu anapenda Christmass
Yes

Wazee wanapenda Christmas
(Christmas)
Vijana wanapenda Christmas
(Christmas)
Kila mutu anapenda Christmas
(Christmas)
Christmas (Hey)
Christmass (Hey)

Lazima mbuzi zinyanganywe vichwa
Nazo Kuku zinyanganywe manyoya
Kisha zifanywe dry frying
Na ma njavati zifanyiwe spinning

Nikirusha macho kitchen
Ninaona creti za soda
Kachumbari kamekusha katakatwa
Na kakawekwa tia gas kako in order

Washa hiyo television, na uweke movie ya Christmas
Telenovela tutaona January kwanza tu deal na Christmas perpendicularly.

Tunafurahia Christmass hivi
Meeting and feasting
Dancing and singing
Hearts with thanksgiving

Happy birthday dear Jesus
Happy birthday dear Jesus

Happy birthday dear Jesus
Happy birthday dear Jesus

Happy birthday
To You
Happy birthday
To You
Happy birthday dear Jesus
[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Ogeni mikono, mukae tayari kukula Christmas

Wamama wanapenda Christmass
Christmas
Mambuyu wanapenda Christmass
Christmas
Watoto Wanapenda Christmass
Christmas
Kila mutu napenda Christmass
Yes

Wazee wanapenda Christmas
Christmas
Vijana wanapenda Christmas
Christmas
Kila mtu anapenda Christmas Eeh
Christmass! Hey
Christmass! Hey

Wachungaji waliwacha mbusi zao,
Walipopata hii good news
Wakapelekea Yesu mazawadi,
Sababu wanapenda hii Christmas

Hata wale three wise men
Walipopata hii good news
Walijikokota hadi kwenye manger
Ya Yesu, sababu wanapenda Christmas

Najua umekuwa busy sana
Lakini hii kitu ishaa fika
Utafunga, hiyo kazi yako ujibambe
Najua napenda Christmas
Hiyo kazi anaweza ngoja,siku
Release mboch wako na soja
Waende wakakule Siku Kuu
Juu pia wanapenda Christmas

Tunafurahia Christmass hivi
Meeting and feasting
Dancing and singing
Hearts with thanksgiving

Wamama wanapenda Christmass
Christmas
Mambuyu wanapenda Christmass
Christmas
Watoto wanapenda Christmass
Christmas
Kila mutu anapenda Christmass
Yes

Wazee wanapenda Christmas
(Christmas)
Vijana wanapenda Christmas
(Christmas)
Kila mutu anapenda Christmas
(Christmas)
Christmas (Hey)
Christmass (Hey)

Lazima mbuzi zinyanganywe vichwa
Nazo Kuku zinyanganywe manyoya
Kisha zifanywe dry frying
Na ma njavati zifanyiwe spinning

Nikirusha macho kitchen
Ninaona creti za soda
Kachumbari kamekusha katakatwa
Na kakawekwa tia gas kako in order

Washa hiyo television, na uweke movie ya Christmas
Telenovela tutaona January kwanza tu deal na Christmas perpendicularly.

Tunafurahia Christmass hivi
Meeting and feasting
Dancing and singing
Hearts with thanksgiving

Happy birthday dear Jesus
Happy birthday dear Jesus

Happy birthday dear Jesus
Happy birthday dear Jesus

Happy birthday
To You
Happy birthday
To You
Happy birthday dear Jesus
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Moses Kariuki
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Stigah



Stigah - Happy Birthday Jesus Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Stigah
Language: English
Length: 2:25
Written by: Moses Kariuki

Tags:
No tags yet