Funguwa kinywa chako na usifu mwenyezi
Siyo kwanguvu zako wa maliza mwezi
Wa maliza mwezi
Kwa nini ujifanye uko juu
Kushinda yeye aliye juu akupaye uzima
Usijivuniye elimu
Hata watu wakueshimu we ni mwanadamu
Jiweke mahali pako ndugu
Kwa maana we ni vumbi tupu
Hmmmmm
Tafadhali mtukuze Mungu
Yeye akupaye nguvu kila siku
Jiweke mahali pako ndugu
Kwa maana wewe ni vumbi tupu
Hmmmmm
Tafadhali mtukuze Mungu
Yeye akupaye nguvu kila siku
Eeh
Be humble
Be humble weeeh
Be humble
Be humble my dear
I say be humble
Be humble eeh eeh eeh
Be humble ohh uuuh ohh
Eeeh aii
Won fo humm (Mwili ni udongo)
Segereye won fo unde (Usijivune mwili ni udongo tupu)
Won fo unde won won won fo humm (Mwili ni udongo)
Segereye won fo unda (Usijivune mwili ni Udongo tupu)
Segereye won fo unde (Usijivune mwili ni udongo tupu)
Won fo won fo won fo unde (Mwili ni udongo)
It is not by your power
You still breathing till now
Juwa kifo haina dawa
You might die even now
If your life ends in 24 hours
Why don't you praise God right now
You ain't holy by taking shower
Only when you obey God
Wajivuna kwa nini
Na izo sifa za nini
Juwa mwili udongo
Utaenda nazo udongoni
Wajiona tajiri
Kwako hawafai maskini
Muogope Mungu ndugu wakati ungali hai
I'm gonna praise you today
I'm gonna praise you today forget my pride
Only you I bless
Only you I praise Oluwa
You're the only one I know
My heart will only praise you Lord
Please understand my praise only you I know
Won fo humm (Mwili ni udongo)
Segereye won fo unde (Usijivune mwili ni udongo tupu)
Won fo unde won won won fo unde (Mwili ni udongo)
Segereye won fo unda (Usijivune mwili ni Udongo tupu)
Segereye won fo unde (Usijivune mwili ni udongo tupu)
Won fo won fo won fo unde (Mwili ni udongo)